WIZARA YA AFYA KUSHIKIRIANA NA ‘MAMA ONGEA NA MWANAO’ KUBORESHA KUBORESHA AFYA YA MAMA NA MTOTO

Na Mwandishi WETU Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin MollelĀ  amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao akiwemo Steven Nyerere pamoja na Vyonne Cherrie (Monalisa) katika ofisi za Wizara jijini Dodoma. Pamoja na mambo mengine walijadiliana kuhusu malengo ya taasisi hiyo kuhakikisha kwamba afya ya mama na mtoto